KARAGWE: Afisa Tarafa wa Nyaishozi, Ndg. Kelvin Berege amekabithi Reflectors kwa maafisa Usafirishaji ( Boda Boda ) wa Kata Zote ndani ya Tarafa ya Nyaishozi, kwa lengo la kutoa Elimu na kuhamasisha makundi mbali mbali ndani ya Jamii, juu ya Haki na Wajibu wa Mwananchi Kup.
Mwimbaji wa kundi la "Zabron Singers", Marco Joseph amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Agosti 22, 2024 katika hospitali ya Taifa Muhimbili, Jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya Moyo.
#mpilitv#mpilitvupdates
Muda mfupi zimesambaa taarifa za uzushi juu ya Muimbaji nguli wa Muziki wa Injili hapa Tanzania Bonny Mwaitege kuwa amefariki Dunia. Taarifa hizo sio za kweli zipuuzwe.
Bonny Mwaitege ni mzima hajafariki kama ambavyo baadhi habari za Mitandaoni vilivyo ripoti.
#mpilitvupdates
Simba SC imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Augustine Okajepha raia wa Nigeria kutoka Rivers United kwa mkataba wa miaka 3 mwenye umri wa miaka 20.
#mpilitvupdates
Klabu ya Simba sc imethibitisha kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coast kwa mkataba wa miaka miwili. #mpilitvupdates
Gen Z nchini Kenya, wamtaka Rais William Ruto kujiuzulu.
Katika wiki mbili za mwanzo waandamanaji hao walikuwa wakipinga muswada wa sheria ya fedha ambao ulipitishwa na wabunge.
Leo Julai 2, 2024 waandamanaji hao wamerudi tena barabarani huku wakimtaka Rais Ruto aachie ngazi.
MOTO WA AJABU WAZUKA BUNAZI MISHENYI KAGERA,NYUMBA ZAIDI YA NNE ZAUNGUA PAMOJA NA BWENI LA SHULE YA SEKONDARI BUNAZI WANANCHI WAKIMBIA MAKAZI WAFUNGUKA MOTO UNAANZIA KWENYE MAGONDORO VIDEO KAMILI INAPATIKANA YOUTUBE YA MPILI TV
Ĺl #mpilitvupdates@itvtz@jamiiforums@bbc
FIFA IMETAJA WADAIWA SUGU
LIGI KUU BARA
1. Yanga — Sh 860 Milioni
2. Singida FG — Sh 420 Milion
3. Tabora Utd — Sh 200 Milioji
4. Biashara Utd — Sh 82 Milioni
.Timu zote tajwa zimefungiwa kufanya Usjaili hadi zitakapolipa Madeni.
Hakuna wasiwasi wowote wa Wajumbe ambao wameamua kujiuzulu kwa sababu wamejipima na wameona wanahitaji changamoto mpya.Hvyo Wajumbe wengine watateuliwa upande wa Mwekezaji, waje tuchague Mwenyekiti mpya wa Bodi na tufanye kazi”Murtaza Mangungu, Mwenyekiti wa Simba SC kupitia ITV
USAJILI ULIOKAMILIKA NDANI YA AZAM FC
🇲🇱 Yoro Diaby—Beki wa kati
🇨🇴 Jhonier Blanco—Mshambuliaji
🇮🇪 Franck Tiesse—Kiungo Mshambuliaji
🇨🇴 Ever Meza—Kiungo Mkabaji