@Guluguja23@mangekimambi Adui mzuri ni yule aliyeondoka kwenye mapambano akaenda kujiunga na upande wa pili ,Ila Adui wa Ndani ni hatari sana sababu uko nae ila wewe hujui kama ni adui kwako
@YerickoNyerereT Sasa hilo nalo ni jambo la kubishana,kabla ya @Chahali kusema mbona Watu walishajua kuwa ni wewe na mzee wako,mbowe,yaan ameamua kumuumiza lisu kisa mmekosa uenyekiti,hakika Mungu atalipa, mmeshindwa kuwa hata na Huruma kwa LISU,mm nawaonea huruma nyie,
@AnethStanley@raiyajenerali Jenerali ulimwengu, alikuwa ccm ,tena alishawahi kuwa hadi mkuu wa wilaya, kipindi cha mkapa,ila baada ya kuona dhulma kwa wananchi, jenerali ulimwengu aliamua kukaa pembeni,ila ni mtu safi sana