Mwanamke wa kwanza alimfundisha maumivu
Wa pili alimfundisha kitokuamin.
Wa tatu alimfundisha kuwa wa baridi.
Na hapo ndipo moyo wake ulianza kufa polepole.
Siku moja alikaa chini na kuamua kusema"kamwe sitopenda tenaa" na hapo ndipo mwanaume mwema alipozikwa
Hakuzaliwa kuwa hivyo,walla hakuwahi kufikiri kuwa hivyo, alianza akiwa mwanaume mwenye mapenzi ya dhati.
Aliwahi kupenda kwa moyo wote.
Aliwahi kuwa mwaminifu kupita kiasi.
Aliwahi kumchagua mwanamke mmoja Kati ya wote aliowaona
Kumbuka kuwa watu hawalipwi wanachostahili bali hulipwa kile wanachokipambania hata kama kipo chini ya kiwango.
Shule zinazalisha watii wa kanuni ndio maana baada ya kuhitimu kila mmoja anapambana na vita ambayo hajajianda nayo.
Jenga tabia ya kutafakari kabla ya kufanya maamuzi.ukifanya hivyo utaepusha uwezekano wa kufanya maamuzi ya hovyo yatakayokusakama,utakayoyajutia au kuyaombea msamaha.
@MbughuniTimothy@DMsangii@BracuszCadabra Wanahabari wajinga huwaga wanatakaga kuonekana wao ndo wa Kwanza kutoa taarifa lkn wenye akili timamu huwaga wanatulia na kuanza kufuatilia kwa usahihi na ufasaha wa taarifa