kikosi cha kwanza cha Yanga Sc kinachoanza dhidi ya Fountain Gate Fc
Darra 🇲🇱
Kibabage 🇹🇿
Mwenda 🇹🇿
Job 🇹🇿
Bacca 🇹🇿
Abuya 🇰🇪
Maxi 🇨🇩
Mudathir 🇹🇿
Dube 🇿🇼
Aziz Ki 🇧🇫
Mzize 🇹🇿
Kazi ya mwamuzi ni kutafsiri 17 za mchezo na sio kubalance sheria.. manoni yangu haya matukio Simba alishindwa vipi kupewa haki yake, Kayoko mechi kaiharibu sana. Sasa nawaza hata marefa wawe wanatoka nje kuja kuchezesha hizi derby
Pep Guardiola on James Mcatee: "We're so happy for him! He's adorable, all the guys love him.He moves really well in small spaces.
It will be a good boost, 'OK I'm part of that!' We want to make him feel part of the group, and able to play without a doubt.
Klabu ya Marseille ya Ufaransa wamefikia makubaliano ya kimsingi na kiungo Adrien Rabiot.
Kiungo huyo wa zamani wa Juventus na PSG anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka miwili.
Amekuwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Juve kumalizika mwishoni mwa Juni.
@mpwagedigital
Huu ndiyo mpira wa Afrika, manula kashambuliwa na afisa wa polisi huku wacgezaji wa Simba na benchi la ufundi likishambuliwa na mashabiki.
Ulaya game ikiisha tu. Utaona fair play ikitokea kwa wachezaji na hata mashabiki wa timu zote mbili.
MWAMBA KUPEWA THANK YOU KIMYA KIMYA🦁
Kiungo mshambuliaji wa kalbu ya Simba SC Willy Onana anakaribia kujiunga na klabu ya Muaither SC kutoka nchini Qatar.
FULL-TIME| EURO 2024 🏆 SPAIN WAMEANZA KIBABE SANA KWENYE KUNDI LA KIFO.
🇪🇸 Uhispania 3-0 Croatia 🇭🇷
⚽️Alvaro Morata
⚽️Fabian Ruiz
⚽️Dani Carvajal
#mpwagedigital#Mpwagejulius#JMTV
Leo tumeshinda lakini ile namba (17) Kings Kangwa anaubonda sana uwanjani na an anpiga mipira ya kutenga haswa.
NB: Huyu myoto wa Leicester City ya championship kwangu mimi leo anastahili kuwa MAN OF THE MATCH
FT Zambia 0-1 Tanzania
FT | Dortmund 0-2 Real Madrid
⚽️Dani Carvajal
⚽️Vinicius Junior
⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️
⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️
⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️
REAL MADRID YASHINDA LIGI YA MABINGWA KWA REKODI YA 15! 🏆⚪️
#APORLA15