@ccm_tanzania kuweni mapema hao wanawake wametumwa,, mpaka sasa sioni cha maana ambacho chadema wanaaminisha watu, kuna kanuni ya ushindani, ili umshinde adui wako basi kaa nae karibu na ndicho chadema wanakifanya, mtakuja kujikuta hamtengenezi viongoz bali mnawatumia wa CDM
โTangu Nchi yetu imeanza hatujawahi kuona Wabunge wanaapishwa Gereji, lakini Dada zetu na Mama zetu hawa wameapishwa nje ya Bunge, wakati Katiba inataka waapishwe ndani ya Bunge, kwahiyo wamekula kiapo batiliโ -MBOWE >> https://t.co/h8v0LQkevx
@kigogo2014 wakati wa msiba wa Big Ben tulitofautiana but leo nikiri huwa unakitu extra,, respect kwako kuna muda Nondo zako hata kama tunatifautiana kiitikadi ila zinatukumbusha kuwa USALITI upo hapa Duniani..
@hancymachemba @Snr_robby @JerrySilaa Naelewa kaka pale ni shida haswa and hutak gari yako ikwaruze maana huo uchungu huwa unafika hadi utosini.. but kuna vitu vingine sisi kama wananchi tuhamasishane tuvimalize bila kumuhusisha mbunge mfate M/kiti atafute kibali tupige donee 3days consecutive pale tunapapiga kifusi.
@hancymachemba@JerrySilaa Tatizo letu watanzania tunapata ujasiri wa kusukuma majukum kwa mtu kisa position yake tu, mm naona Mbunge kuliko kutoa hela zake asimamie tu kuanzia pale chama magari yote yanayoelekea Kitunda yapigwe mchango wa 1000 ili icho kifusi kinunuliwe kama mnakihitaji haraka..
@hancymachemba @Snr_robby @JerrySilaa Mimi nakaa Matembele ya pili, naelewa ugumu wa njia especially kuja kufika relini lakini inaonekana kabisa njia ilikuwepo ila imelika,, na mpango unaoendelea njia yote mpaka banana itatandikwa mkeka... mbona sie tulivumilia lile daraja la pale sheli
@hancymachemba @Snr_robby @JerrySilaa kaka unajua sheria ya barabara iliokwisha pigwa rami hawapaswi kuiwekea kifusi ni mara 10 ikwanguliwe yote au ipigwe viraka,, usipende kurahisisha mambo