Mtu anayelipwa 200K akitoa 10K akakupa ametoa 5% ya mshahara wake kukupa wewe.Hiyo inamaanisha kuna siku kama 2 aliamka nyumbani kwake akaenda kazini kufanya kazi kwa ajili yako.Jifunze kuwa mwingi wa shukrani na uthamini jitihada wanazoweka watu kukufurahisha /kuridhisha nafsi
Life is all about drawing lines and making sure you don't cross others lines.
You do your dance and I do mine,it's called respect. No matter what you have,it doesn't give you authority to cross my line.
Respect people for who they are not for what they have.
Good morning fam.
Wengine tuko peku na tuna pita kwenye Ardhi iliyojaa miba na mawe tunapata maumivu makali yasiyo elezeka lakini
Pamoja na hayo yote hatuchoki kuvumilia kwakua family zetu zimeweka tumaini kubwa Juu yetu.
Good morning X Familia 👊🏾
Mungu katupa leo tena, leo Atukumbushe kuwa na kiasi kwenye kila jambo huku tukiamini sio lazima tutamani kuwa kama wengine maana yeye hajawahi tuwazia mabaya na hutoa kwa wakati wake...
Good morning🖐
Kuna watu wanaanza siku kwa maombi, wengine kwa kahawa, wengine kwa mazoezi, na wengine kwa stress za maisha ambazo hata hazijaanza kutokea.
Bila kujali unapitia nini, nakutakia siku njema yenye mafanikio na sababu ya kutabasamu. Good morning 🌄
Kila Asubuhi mpya ni ushahidi kwamba Mungu bado hajamalizana na wewe. Shukuru kwa uhai, ombea nguvu, na tembea kwa imani.
Neema ya Mungu ikutangulie leo 🙏🏼
TUNAKUMBUSHWA
Hicho unachokiona cha kawaida kwako sasa, kuna mtu anakipigia magoti na kukiomba kwa Mungu kwa machozi mengi akipate.
TUSISAHAU KUSHUKURU.
Morning X Family🌄.
Kamwe usifanye ushirika na Shetani.
Kufanya ushirika na Shetani ni kumleta hadui Nyumbani.
Pambana katika mazingira ambayo kila mtu anaona hustle mpaka unakuja kufanikiwa ...
Good morning wapambanaji wa maisha yenu.
Kupata Kukosa Alhamdulilah
Mungu richa tunashukuru kwa kila jamb Pia Tunakuomba Sana Muongozo Wako Kwenye Yale mazuri na Yalio Mema
Good Morning Brother And Sister ✴️
How is it?
Its a bit challenging🤔
USA ndiyo super power, na hataki taifa lingine liwe na hiyo power.
Wengi wanaona hii siyo fair, mbabe wa dunia asiwe mtu mmoja tu!!
Sasa Bongo inapo-mess then USA ikamuwekea vikwazo Bongo.
Automatically Bongo atatafuta alternative support China/Russia au hata kwa Mwarabu!!
Watu ambao Usa hataki wawe na hiyo power.
Hapa sasa waathirika wa hii messing up ya Bongo, ambao wengi waliona sio fair Usa kujimilikisha uSuper power pekeyake.
Watapiga U-turn na kutaka China,Russia na wengine wasiwe na power over Usa.
Ili vikwazo vilete matokeo chanya na zile alternatives za China na Russia zisizae matunda!!