Public Figure, politician, advocate
AGM member @tanzaniaredcross
AD @elimutumizi_taef Lawyer, Politician Former CP @darusomlimani
active member of @ccmtanzania
My humble Prayer :
Lord, if it's not from Your will, let it slip through my grasp and give me the peace not to worry about it.
Help me Lord.
AMEN
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kuna school bus na skuli basii !!
tofauti Kati ya yapili na yakwanza ni kwamba, yakwanza baada ya masomo Mwalimu anamua kutakuwa na Remedial classe yani tuition.
Yapili kabla ya Masomo washikaji wanaamua kutakuwa na escaping classes yani tuishieni 😂😂
Upande wa pili 😂😂😂
As long as you’re human you will love, you will lose, you’ll laugh, you will grieve, you’ll break you’ll mend, you’ll begin again and again.
You will know and then discover how little you know. you’ll rise, you’ll fall.
there’s no graduation from being a human.
Be a human…🙏🏻
If you wake up to look for a strength in a relationship you’ll find it, and if you wake up to look for a mistake in a relationship you’ll also find it.
Love is always fair, it gives you what you decide to look out for 👀
Mama Anasema Nathan Nyoa hizo ndevu unaonekana Kama muhuni wakati mchumba anasema babe nakuja kuchezea ndevu zako.
Hii vita inakuwaga kali sana maana hizi ni two schools of thoughts 😂😂😂
Ni mwendo wa mguu wa Shingo Mguu wa roho 😂😂😂
Leo nilipata nafasi ya kujadili bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2026/2027 iliyopitishwa bungeni ambayo ni jumla ya shilingi trilioni 62.33, ikiwa ni ongezeko la asilimia 10.3 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2025/20
The fact that we don’t have to go through any human to reach to God is an underrated privilege which many religious leaders don’t want to teach their followers.
people have placed their faith in human beings, that’s why when devil strike religious leaders the church falls down
Natanguliza shukurani zangu za dhati kwa watu wote ambao wamenitakia heri katika siku yangu ya kuzaliwa.
Asanteni sana kwa Upendo Wenu kwangu, nimejaribu kujibu jumbe zenu watu Wangu, pengine sikuweza kujibu kila ujumbe lakini naomba mpokee shukrani yangu kwenu.
Asanteni🙏🏻
Don’t book a judge by it's cover, I mean don't cover a judge by it book, sorry, don't cover a book by it's judge, No, don’t judge a cover by its book.
There is a book, a judge and a cover, 😂
🤦🏽Whatever just don't 😏😂
Alhamis hii kwenye habari tutakuwa na,Nathaniel Maseke,Mwanasheria na mchambuzi wa siasa.
Tutapata nafasi ya kufahamu ushiriki wa vijana kwenye uchaguzi mkuu nchini Tanzania..
Usikose kutazama TBC2 ni leo saa 2:00kamili usiku ndani ya JABA. #tunakuhabarisha#TBC2UPDATES#TBC2