@eastafricatv Tunatakiwa tutambue kuwa mahakama haitoi maamuzi kwa wewe kulia, hapo ni sheria ndio inafanya kazi. Lakini nani atawasaidia jibu ni hakuna. Kwanini kwa sababu mifumo ni mibovu hakuna haki mtapata. Tutaelewanan tuu
@eastafricatv Mifumo ya nchi mibovu kila siku tunaona wanasheria wanasema. Tatizo sisi wabongo ni wabinafsi tunadhani matatizo yatamkuta mtu mmoja ndio maana hatushirikiani kupinga mifumo iliyopo. Wacha inyeshe
@Jambotv_ ππππππππππngoja kwanza nicheke ππππππππππππwewe mama hakuna mtu anayekukubali afu bado unafanya siasa. Hayo maji yatapelekwa ila uchaguzi ukiisha shida inarudi
@spana_Konki Kwa maana hiyo ligi kuu Tanzania bara inaenda kuchezwa Zanzibar ππππππ. Kimichezo Zanzibar ni nje ya tz maana wanaligi yao, kwa iyo ipo siku wataenda kucheza Kenya
@EmmausAskofu Makanisa yenyewe yamekuwa hayana nguvu. Dini yetu itaendelea kudharauliwa kila siku, na kila siku kunaibuka mijadala ya kudhalilisha ukristo na viongozi wake.