Kwa watumiaji wa Airtel kuna huduma ya SME inakuwezesha kupata GBs Kwa Gharama nafu.
✅Ukiwa na tin namba
✅Namba ya Airtel ambayo ni ya matumizi binafsi
Njoo nikufanyie activation baada ya activation utapata menu Mpaya ya vifurushi *149*91#
Gharama ni Tsh 10k Call 0679764983
Wapwa naanzisha group la kuinuana humu, mwisho leo kujiongeresha . Shusha handle nikuadd hata kama una followers wawili make sure umenifollow hapa iwe rahisi kuku add
Leo tukutane Na Majibu ya Ka-challenge kidogo
Challenge;- Mtumie rafiki yako text "Nimetingwa hapa, naomba nisaidie elfu kumi" akijibu screenshot tuone aina ya marafiki ulionao.. 😂.!!
1.
Ndugu zangu, familia, marafiki zangu,
Jana nilipata ajali majira ya jioni kwenye saa kumi kuelekea kumi na moja
Niligongwa na bajaji maeneo ya makongo mwisho nilipoteza fahamu pale pale nikaja kuzinduka nikiwa njia karibia nifikishwe Palestina
Baada ya kufika Palestina