Tweeting with a typo has got to be the worst moment of tweeting life, inakasirishanga Sana alafu ukitaka kudelete utweet tena unaona nikama itanasa mamaee inabidi unaacha Ivo nkts😂💔... Na ni nyinyi mumekataa kunifikisha 5k niweke badge nikue na edit.😂💔
Bro to bro: Dem ya bro akikupigia kuuliza whereabouts za mtu wake, just fake a scene as if hakuna network, kata simu, pigia bro uskie rada ni gani, alafu from there ujue what to say. Usikue na kiherehere.