Kwa kutumia Special Forces Tactics Komando LT Denis Urio akiwa anawasiliana na familia yake, familia yake ilikataa Urio asiseme kitu ambacho ni Uongo juu ya Kesi ya FAM, Familia inakataa kabisa. Lakini LT Urio Anakubali.
2025 nilitegemea kusikia kwenye campaigns wanaongelea
-Decentralization
-Tax reforms & wealth distribution
-Universal internet
-Electric vehicles
-STEM & digital literacy
-Renewable energy
-Smart agric
-Global alliances nk
Majamaa wanaimba taarabu na kuzungumzia matundu ya vyoo
#TajiriLaKihaya
Nmetafuta namna rahisi na nyepesi ya kuelezea nmekosa!
Ila ngoja nikuelezee kama mtu aliefika japo VETA tu!
Kuna Ofisi flani iliagiza gari zero km kutoka nje.
Ikagawa kwa wafanyakazi wao… ila ni utamaduni kwamba zikifikisha kilomita flani wanaziuza kwa wafanyakazi wao. Ila huwa ni after 5yrs hivi…
Sasa kuna jamaa alitaka auziwe gari ndani ya mwaka mmoja tu…
Ikabidi afanye njama na Mechanics wa kampuni… kila muda gari ikawa inapata breakdown… mara vifaa vibadilishwe… yaani maintanance Cost ikawa juu saana ya hio gari!
Fundi wa kampuni akashauri gari iuzwe maana matengenezo yake ni gharama saana…
Ikauzwa bei ndogo mnoooo…
Ila kumbuka gari haikua mbovu wala nn… ni mipango tu ilipangwa na ikapangika!
Gari iliuzwa na jamaa alinunua kihalali kabisaaa…
Umeelewa nini hapa bwana Mangi???