@swahilitimes Amelinganisha hizo bei na nchi ipi, alitaka bei ipande hadi wapi ndiyo aone kuwa mwananchi anaumia!! Kwanza hiyo mbwa haikuchaguliwa inaongea utumbo anajua athari ambayo wananchi wanakumbana nayo wakati huu? Kwani huko bungeni ni lazima aongee, au angenyamaza kimya angekufa??
@HildaNewton21 Idd Amin marehemu aliwahi kusema nanukuu" you have a freedom to speak but the freedom after speak I can not guarantee you" mwisho wa kunukuu.
@iammwanjala Nakuomba baba askofu G usihangaike na hii mbulula huyu sii level yako, anajiita nabii lakini hajui hata nabii ni mtu wa namna gani. Askofu wangu Gwajima piga kazi hili nalo ni mojawapo ya mapepo ya kukemea
Hakuna jambo la kufurahisha zaidi kuliko kuona adui yako akifanikiwa ktk maisha yake kwa namna hii . Kwa hakika, wanatimiza ndoto yao kwa ustadi mkubwa. Mungu ni mwema sana. Niko proud nao sana. Sisi ni Watanzania lazima tupendane.❤️❤️