World war 3 modern Western civilization zitakuwa Destroyed ☢️, Then Communist/socialism countries will be damaged ✍🏽
-Petro Dollar 💰inaenda kuanguka
-Africa Inabaki kuwa safe kweny hivi vita (though We will face famine we have never seen before)
Are you Ready for this Chaos ?🤷🏻
Micshariki Africa na Sela Ninja wanakuletea albam "Uchavushaji Elimu Ya Fedha".
Album hii imewashirikisha ma emcee, waimbaji na DJ kutoka Kenya, Tanzania, Marekani na Uingereza.
Ni album ya kwanza ya Hip Hop yenye maudhui ya Elimu Fedha.
https://t.co/UtJUZS16BMicshariki Africa na Sela Ninja wanakuletea albam "Uchavushaji Elimu Ya Fedha".
Album hii imewashirikisha ma emcee, waimbaji na DJ kutoka Kenya, Tanzania, Marekani na Uingereza.
Ni album ya kwanza ya Hip Hop yenye maudhui ya Elimu Fedha.
https://t.co/UtJUZS16BG
Ukipata nafasi Chukua Muda wako kasikilize Album ya #Nisher hutajutia.
Nb: Unaambiwa Album Nzima karecod na kumaliza kila kitu Mwenyewe🏌️♀️ Bruh was Ahead of Time No Cap🧢
[ARTIST,PRODUCER AND DIRECTOR]
R.I.P🕊️
@Exquisite_255 We jamaa bana hebu tuambie kiongozi wa waislam ni nani amby sisi tunamfata kam ambvy wakristo walivyo na huyo papa Kiongozi wetu sisi ni Muhammad ,
Huyu ndio mshambuliaji wa zamani wa Yanga aliyekuwa kiboko ya Simba, Said Sued ‘Scud’ baada ya kufanya maajabu kwa kuifunga Simba SC mara mbili katika msimu mmoja.
Scud aliichezea Yanga kwa msimu mmoja tu kabla ya kutimkia Milambo ya Tabora aliyodumu nayo kwa miaka mitano. Hivi sasa ni mmoja ya Maustadh wakubwa mkoani Kigoma.