SERIKALI HAIWEZI KUAJIRI KILA MTU
Nakaribisha mjadala kidogo hapa, Je, kuna ulazima / umuhimu gani wa mtoto kusoma kuanzia darasa la 1 - 7, Form 1 - 4, From 5 - 6?
Binafsi nilipitia level hizi zote lakini mpaka sasa sijawahi kuamini kama kuna ulazima wa hayo (Ni mtazamo)