“Mkumbushe mwanao, Tunahitaji kuwa na ujuzi wa ziada katika maisha ukiachana na ule tunaouita Career”
Karibu kwenye Youtube-Channel yangu kama wewe ni mpya naomba subscribe… Na pia utakutana na video yangu mpya kabisa. Asante
https://t.co/GCJVrCsU7Z
@SadickTusia
Mkumbushe mwanao “Daima awe na sababu ya kucheka na kufurahi kwasababu inaweza isiongeze miaka kwenye maisha yake, lakini hakika itaongeza maisha kwenye miaka yake”.
Mkumbushe mwanao “Neno siwezi ni sawa na mvua inaweza kuja ama isije, usiseme ‘Siwezi’ila ‘Fanya’neno ‘Siwezi halina hadhi ya kuwa neno la kwanza kwenye maisha bali neno ‘Fanya’ ndilo liwe neno lako la kwanza”.
Mkumbushe mwanao “Tunachokiokoa Hutuokoa pia, ni wakati wa kuokoa sayari yetu, Tunza mazingira nayo yatakutunza pia”.
Nikiwa kama mdau wa mazingira napenda kuwatakia nyote “Heri ya siku ya Mazingira Duniani”. 5th June 2022..
Mkumbushe mwanao “Kila mtu anataka maendeleo lakini si kila mtu anaelewa na kukubali mahitaji ya msingi kwaajili ya maendeleo, jambo kubwa ni kufanya kazi kwa juhudi na maarifa”.