@Zackajr@silvanmoi@abissay_stephen Timu ni mbovu tumefika pale kwa papatu papatu, hatuna elite players wakutupa output wanazotarajia ndio mana wanaundiwa hamasa kwa noti ili waokote ila napo bado. Tunahitaji safisha au kujenga kuanzia kwenye shina sio kuujengea mti sapoti ilihali shina limeoza mti utanyauka tu