๐จ Yawezekana unataka kununua simu used au umetoka kurekebisha simu yako kwa Fundi
Je utajuaje kuwa hiyo simu haina matatizo yeyote kwenye hardware system zake?
Leo nataka nikuelekeze namna ya kutest kuwa kila feature ya simu yako kama haina shida kwenye hardware....๐๐พ
@AshaRoseMigiro Happy Birthday my mom Hon. Ambassador Dr. Asharose Migiro. Mungu aendelea kukupa maisha marefu yenye afya na mafanikio tele. Bravo mama
@SuluhuSamia Mama na Rais wetu mpendwa Mh. Dr.Samia Suluhu Hassan shikamoo. Nakupongeza sana kwa yote unayoyafanya kwa taifa letu la Tanzania tangu uliposhika usukani. Kazi iendelee na Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza
@MagufuliJP Hongera sana Mh. Raisi Dr. John Pombe Maguful kwa kutuwezesha watanzania kufikia hatua hii muhimu. Mungu azidi kukupa maono zaidi uzidi kufanya maamuzi magumu ya kutufikisha nchi ya kanani.