Mapema leo Butiama, niliposhiriki dua na sala kwenye kaburi la Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na kuzungumza na wanafamilia, kabla ya kuendelea na mikutano ya kampeni katika Mkoa wa Mara.
@SamoMgore63506@godbless_lema Na sisi tunahesabu tunayoyajua na tusioyajua ataenda kupambana nayo yeye mwenyewe ndugai alikuwa mkatili sana alisahau kuwa ipo siku atakufa na wapo wengi kama yeye haya mali zote kaziwacha