Mzae ananipigia simu na number unknown to me, dem anachukua wanaanza kubishana. After kujua ni my dad naskia eti pole si kuwa najua. Fuck!!! She didn't deserve this!
Hii ndio shida ya kupea Caicedo armband
Majirani zangu tangu watoto wafunge shule huwa wananiona nikiwa mtu mbaya sana, hahaa. Watoto wao wakiingia tu kwangu nawasafirisha warudi kwao na wakipata nakula kitu chances are that sita wapea.
Past trauma and experiences saa ingine hutufanya tukae watu wabaya but in....
Leo kuna mama amekuja bank analia and she came with 2 tittle deeds ya mashamba mbili moja iko Machakos township very prime plots na ingine iko Banana pia ni plots zina add upto almost 3/4 of an acre.
The reason mama ya watu analia anasema kijana anataka kuuza shamba zote na ana
ameanza kuonyesha tabia kama za RaguBabu Patel😂
Now the mom wants the bank imsaidie kuweka hizo tittle deed safe she even wants to use them kuchukua loan ya just 10k na hizo ziwekwe kama collateral. She doesnt need the money but anajua zikikuwa bank zitakuwa safe.