@MiriamMkanaka Mwanaume akisema anaonekana ni mtu aloyefika mwisho na aliyeshindwa, Hudharaulika kwa namna fulani nasi tumeumbwa kuwa viongozi na watatuaji wa matatizo ndio maana hata Mwanaume akizidiwa anatafuta kichochoro analiaaaa weee akitokeza amenawa Uso na ametulia kabisa..
@mTusiOriginal@kilepi_tweve Bora wapeleke huko Sisi hatuko tayari ,Bado mwaka mmoja mnapambana na Viwanja ,tutaweza kuhost maelfu ya watu wanaohudhuria Afcon