Tunatakiwa kubalance Maendeleo na hali ya maisha ya watu. Kipindi hiki kila kitu kinapanda bila ongezeko la kipato cha watu. Naona kama kuna changamoto ya kusimamia upandaj vitu Holela!
Hik sio kipindi cha kujenga hoja za kuongeza kodi na tozo mbalimbali. Somen Alama za nyakati
Nawatakia heri ya Mwaka mpya 2026. Tunamshukuru Mungu kwa kuvuka Salama 2025 maana haikuwa rahisi.
2026 Naomba Mungu atuepushe na Maradhi, atupatie umri pamoja na Riziki halali. Kubwa zaidi tuwakumbuke wenye uhitaji!
Alhamdullillah.
Mtoto wetu ABDULHAQ jana alingโatwa na Nyoka.Ninatoa shukran zangu za dhati kwa Ms.Lynne Bale (Mama Nyoka) na wataalam wake kwa kazi nzuri sana. Nina pendekeza ukipata changamoto kama hii nenda kwa huyu Mama pale MESERANI SNAKE PARK mara moja na usipoteze muda maeneo mengine.