Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini Uganda leo tarehe 20 Desemba 2025.
Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Maziwa Makuu, utakaofanyika tarehe 21 Desemba 2025. @nchimbie
Chandler Good Government Index (CGGI) ni taasisi imara inayotazamwa katika kupima uwezo na ufanisi wa Serikali duniani.
Report yake ya 2025 inaonesha 6 Afrika kuwa na Serikali imara.
#OktobaTunatikiSamia
Watu wanajaa kwenye mikutano ya CCM, kumfuata Rais Samia wanayempenda sana na kusikiliza hoja.
Sio kweli kwamba wanafuata wasanii, sisi wasanii tuna show nyingi tu hatujazi
#OktobaTunatikiSamia
Hii ni sehemu ya safari yangu kuelekea kituo changu cha kazi.
Maswali: Itakuwaje kwenda kufanya kazi kijijini? Nitaweza kubadili mfumo wa maisha? n.k
MAJIBU: Ninaianza safari ya utumishi wa umma kwa moyo wa uzalendo, shukrani, na tumaini kwa Mungu.
NIKO TAYARI #KuanzaUtumishi
"Tanzania inafunguka, Tanzania ni jina kubwa limekuwa ulimwenguni kiasi ambacho kila mtu anataka kuja Tanzania. Na si kukua kwa jina lakini ni kwa sifa zetu."- Rais Samia Suluhu Hassan
#MamaAnafanikisha
Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri wa Kilimo akihutubia wawekezaji na wafanyabiashara zaidi ya 200 walioshiriki katika Mkutano wa Wawekezaji wa Ndani (ikiwa ni pamoja na kwa njia ya mtandao) leo tarehe 18 Desemba 2023, Hoteli la Serena jijini