💔💔😭
This collage shows how much Kizza Besigye and Sam Mugumya have suffered at the hands of the black oppressors in Uganda - and why? Political differences and sheer greed for power!
Hakuna mnyama anaweza kumtesa mshindani wake hivi zaidi ya binadamu katili!
Hii ni aibu KUBWA na ushetani usio na kifani kuwatesa Kizza Besigye na msaidizi wake Sam Mugumya hadi wamechakaa na wako hoi! Kisa uchu wa madaraka!?
We need an OVERHAUL! This is utter madness!
#FreeKizzaBesigye
#FreeSamMugumya
#FreeAllPoiticalPrisonersUg
Huyo ni SULEIMAN MOMBO kazini. I think nilishawaeleza Watanzania kuwa Samia ametoa order kwa Usalama wa taifa kumuua Heche iwapo hatofanikiwa kumuondoa kwenye nafasi ya uongozi Chadema kwa kumchafua.
Kama ulichukulia simple lile onyo naomba kila mtu achukulie serious. Samia yuko tayari kuua yoyote yule ambae anazuia maridhiano ya kihuni anayoyafosi na Chadema. Na ndo maana bado kashupaza shingo juu ya kumtoa Lissu ingawa dunia nzima inapiga kelele amwachie. Anajua Lissu ndo kabisa hatokubali huo upumbavu.
Naposema maridhiano ya kihuni naomba muelewe kuwa Samia hataki any international mediator, yani baada ya mauaji aliyoyafanya anataka akae na Chadema kienyeji ili Chadema wamuhalishe kama rais halali wa Tanzania and that WILL NEVER HAPPEN!!!!!!!
@SuluhuSamia MARIDHIANO YA KIHUNI NA WAUWAJI WA OCTOBER 29 WATANZANIA TUMEYAKATAA. UTAUWA NA KUBAMBIKIA WANANCHI KESI ZA UGAIDI ILA MARIDHIANO YA KISHENZI UNAYOYAFOSI HAYATOFANYIKA NG’OOO!!!!!!!
Tumepokea taarifa mbaya kuwa adui anahitaji roho yako. Lakini, tunasadiki, adui anaweza kuwa na maneno ya kwanza; ila neno la mwisho ni la Mungu. Mungu aliyekutetea hadi leo akufunike kwa mbawa zake, uwe salama, udumu na ulione kusudi lake. Stay safe, Tundu Lissu.
Wapendwa,
Nafikiri tumebakiwa na hatua moja tu kufikia lengo letu. Hebu fikirieni, kama kila mmoja ambaye tayari ameshachangia ataamua kutoa tena mchango wa kiwango kilekile alichotoa mwanzo, basi kufikia kesho tutakuwa tumekamilisha asilimia 100 ya mahitaji ya fedha za Baraza Kuu.
Hii ndiyo roho ya Tone Tone haswa Weekend hii, hatuhitaji mzigo mkubwa kutoka kwa mtu mmoja, bali moyo wa pamoja kutoka kwa wengi.
Tukiamua, tunaweza. Tukisimama pamoja, tunafika.
Asanteni sana kwa kujitoa, mshikamano wenu, na kuendelea kuamini katika wajibu huu mwema.
TONE TONE WEEKEND MISSION
“Kila tone lina thamani; pamoja tunatimiza kusudi.”
Chini ya utawala wa Samia wanachama wetu wengine wamebambikiziwa kesi ya ugaidi.
Kwa Samia na serikali yake kuwa mpinzani wa serikali yake na sera za ccm ni sawa na kuwa gaidi.
Leo ni siku nyingine ya giza kwa Nchi yetu. Utawala huu dhalimu ulioua maelfu ya watu tarehe 29, Utawala unaoteka na kupoteza mamia ya watu, umeamua kuwabambikizia wanachama na viongozi wetu kesi nyingine mbaya ya ugaidi .
Uhakika ni kwamba tawala za aina hii duniani huwa zinaanguka kwa aibu na Utawala huu dhalimu utaanguka kwa aibu kubwa.
Kesho Kesi dhidi ya vikwazo vya magereza vya kuzuia na kusumbua Mawakili wanapofika kumuona mteja wao Gerezani TUNDU LISSU itaenda Kesho Jumatatu Julai 20, 2026 Mahakama Kuu ya Tanzania Dar es Salaam. Baada ya vitimbi vya internet Tarehe 01Julai na umma kushindwa kushiriki, sasa Kesi itaenda physically Mahakama Kuu na Mhe. Lissu atamuhoji Mkuu wa Gereza la Ukonga maswali ya Dodoso.
Mawakili waliofungua kesi hii
1.KULWA WILLIAM MADUHU
2.NASHIN NKUNGU
3.PAUL KISABO
#WeAreThere4Justice #FreeTunduLissu #KatibaMpya
Utawala usiofuata sheria unafundisha watu kudai haki kwa nguvu…
Huyu mwalimu anafundisha Course ya PS 123: Government and Politics in Tanzania
Dola dhalimu wanamtishia, asitimize wajibu wake wa kufundisha kwa kutoa mifano halisi ya nchini kwetu. Sasa wanaingia mpaka madarasani wanapangia walimu nini wafundishe.
Sheria za Nchi yetu ziko wazi, huwezi kumshikilia mtu kituo cha polisi kwa zaidi ya masaa 24, kama itakua zaidi ya masaa 24 basi isiwe zaidi ya masaa 48 bila mkuu wa kituo kuomba ruhusa ya mahakama.
Leo ni jambo la kawaida watu wanashikiliwa kwenye vituo vya polisi na mahabusu za polisi kwa miezi 6, 3 nawengine hata 8.
Kuna watu wanapigwa na wanakua walemavu na wanaendelea kushikiliwa.
Hivi tunavyozungumza kuna vijana wa Chaso Mbeya walikamatwa na wanashikiliwa tangu tarehe 4/7 wengine wamepigwa vibaya na kuumizwa.
Mimi nilishikiliwa kwa zaidi ya siku 21 kwenye mahabusu ya polisi nikiwa nalala kwenye sakafu.
Huu utawala dhalimu unafundisha Wananchi kwamba Nchi hii hakuna sheria ni kila mtu kujitetea.
Kwa njia kama hizi nani ataheshimu mahakama za Tanzania, wanatumia Mahakama pale tu wanapoona inaweza kuwapa kile wanachokitaka… Huyu ni mhadhili wa chuo anafanyiwa hivi, mahakama inaona jambo kama hili ambalo polisi tangia mwanzo hawakufuata sheria.
Watanzania tuungane wote, tuchangie na tujenge taasisi itakayoondoa uhuni huu kwenye Nchi yetu.
Wakati SAMIA anachangisha mabilioni pale mlimani CITY mliomba yale mabilioni yakina GSM kuchunguzwa?
Buku buku zetu zinawawasha sana naona-mmeona kabisa 334M inafikiwa mavi yanagonga CHUPI.
Wakati tunaanza mlisema hata 10M hatufikishi—leo GEN Z wanashindana kuchangia chama asubuhi,mchana ,usiku na hata kwenye hii post utaona miamala kwenye comment kuonyesha weww ni TAKATAKA.
Ombi langu kwa Viongozi wa CHADEMA, Hizi namba zinazotuma michango ZIHIFADHIWE vizuri
Baadae mnaweza kutumia namba hizo kwa kuwapigia simu au kutuma SMS ya kuomba kura, michango, kutuma taarifa mbali mbali za chama n.k
Dunia ya sasa ni ya Teknolojia, Tuitumie Teknolojia
‼️MAHAKAMA KUU KANDA YA MBEYA IMEAMUA KUTUMIKA‼️
Baada ya Jeshi la Polisi kuwakamata Viongozi wa CHASO Mkoa wa Mbeya tangu Julai 4 na kukaa nao kinyume cha sheria hadi leo.
Julai 11, 2026 Mawakili wetu wakiongozwa Philip Mwakilima walifungua kesi kwa hati ya dharura Mahakama Kuu ya Mbeya kuitaka Mahakama imuite Patrobas Katambi, IGP, RPC & RCO wa Mbeya pamoja na OCD ili wakaseme kwanini hawataki kuwapeleka Vijana hao Mahakamani au kuwapa dhamana.
Ikumbukwe Mawakili walifungua kesi kwa HATI DHARURA ili kesi isikilizwe haraka kwasababu hao Viongozi wa CHASO wanatarajia kuanza mitihani July 20, 2026 ili lakin Mahakama imepanga kusikiliza kesi hiyo July 23, 2026.
Mahakama imeungana na Jeshi la Polisi kuminya HAKI ya Vijana hawa ili wasifanye mitihani yao.
‼️Habari mbaya‼️
Huyu kwenye picha anaitwa Kelvin Ndabila ni mwanachama wa CHADEMA kutoka Mkoa wa Mbeya lakini pia ni Mwandishi wa Habari wa Jambo TV.
Jana jioni akiwa Mbeya, alichukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni Askari, nimejulishwa kwamba yupo Central Mkoa wa Mbeya lakin mpaka sasa Polisi hawataki kusema kosa lake ni nini.
#FreeKelvinNdabila
100%. Hatuwezi kusapoti Chadema kwa maneno tu, lazma tutoe pesa.
Ngoja niwaambie kitu Watanzania, Chadema kukosa pesa ndio moja ya sababu kuu CCM wanawapata watu wa kufanya hizi press za kumchafua Heche.
Watanzania, hatutafika popote kama Chadema haina pesa .
Ni aibu kubwa sana nchi inayolilia haki leo ni siku ya 3 tumekusanya 50 million tu, ni aibu. Mtu ananunua bando ili aingie insta asome umbea wa nani kaachana na nani? Hizo buku 5 za bando la kufatilia umbea si ungetuma Chadema?
Reality is bila Chadema kuwa na pesa hakuna msaada mkubwa wataweza kutupa…….. Watu wanatupigania ila hata kuwasapoti na kufanikisha kazi zao kwa kutoa pesa tunashindwa??? Hii haki tunayoidai itakuja kimiujiza bila pesa kuwepo za kufanya movement ????
Kama unakubaliana na nilichosema basi, kabla huja Like hii posti, kabla hujareposti, kabla huja comment kabla hujamforwadia mtu hii link tuma pesa kwenye hii number.
vodacom: 0744 446969
Jina: Chadema HQ
Kingine nna swali kwa Chadema hawa wanachama wenu mamilioni, mna namba zao simu? Yani mna database ya wanachama. Je mnatuma messages kwa wanachama kuwakumbusha kuchangia? Mimi personally hapa Marekani huwa nasumbuliwa na message za chama mpaka natuma mwenyewe pesa. Maana message inakuja na link kabisa ya kutuma pesa, tena wanani address kwa jina.
Uchambuzi Bora kabisa kutoka kwa Furhan sikiliza kisha Bonyeza repost GAIDI.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo