Katika Karnes ya 14 neno *happy* lilikuwa linatafsiriwa kama *lucky*
Vivyo hvyo watu Huamini mtu kuwa na furaha ni bahati tu
Lakini DALAI LAMA anasema unaweza ukaifundisha akili yako kuwa na furaha kwa kutambua mambo yanayokufanya
⭕ uwe na furaha
⭕uwe na maumivu au huzuni
"#Planning is bringing the future into the present so that you can do something about it now.
It's just the beginning to reach your imagination."
~ Alan Lakein
#planning#mondaythoughts
Usugu wa Vimelea vya Maradhi ni tishio kubwa kwa afya zetu!
@JamiiMedical kwa kushirikiana na wadau mbalimbali vikiwemo vyombo vya habari tutahakikisha tunaielimisha jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa ili kupambana na tatizo ili kwenye sekta ya afya.
#AMR#WAAW2019#OneHealth
World Antibiotics Awareness Week 18-24 November,2019. #WAAW2019.
This year theme is "The future of antibiotics depends on all of us"
Antimicrobial resistance is occurring everywhere in the world, compromising our ability to manage and treat infectious diseases.