The only person who gave us pressure here was khalif Kairo. All these other small forex traders who are washing hands in clubs with wine have are nothing. Kairo unajua alikua ametuwesa aki,na ni juu kweli tulikua tunaona kazi anafanya. Anauza magari! His pressure was valid. Leo ako malysia,kesho india,tena ndio huyo US na mabinduki,tena ndio huko ako jamaica anasuguliwa na kina shensea. Kidogo wako south africa na parachute amebeba wetangula kwa mgongo. Eih! Mpaka unaangalia unaona kweli,mimi nilicheza na maisha yangu,I am a failure!
Kairo kuna siku ametuambia tusifu dem wake atupatie gari. Can you imagine! Si tuling’eng’ana aki. Mimi mpaka nikanunua drinking chocolate nikunywe,nichemse ubongo. Angalau nipate gari,isikue mzazi alinipeleka driving school bure. This boy was giving us pressure bwana. Kidogo hivi mambo ikachemuka,fununu ikaanza kairo amekula pesa ya gari. Supplier anasema hajapata pesa. Eih! Kidogo warembo yote kairo alikua anakula nao,wakachivayo,yani waka disappear. Ata instagram walifuta picha
Dunia ilitafuna hii kijana yetu na ikatema yeye akiwa uchi. Mambo ilikimbia haraka sana.
Bwana this world just teach yourself to mind your business,mambo ya watu ni ngumu aisee