WAFIPA; Usu Usumwako itwi (Unga usio wa kwako ni sawa na majivu tu)
WASWAHILI; Mtegemea Cha nduguye hufa MASIKINI.
WAZEE WA SUMBAWANGA; Usijiamini na kujihakikishia Kwa kisicho chako, na cha mtu hakiwezi kukupa thamani🤒
Mikoa ambayo kijana anayeanza maisha anaweza kuishi!!
1. Dar es Salaam
2. Mwanza
3. Arusha
4. Morogoro
5. Mbeya
Mikoa mengine kama Dodoma na hauna ndugu au mtu wa kukushika mkono unaweza kulia kuliko ambulance 💔😂
Good morning everyone 😊🖐
Mungu ombi langu kwako halitabadilika,katika neema zako zote kwangu ziambatane na mwanamke mwenye matako ndani yake
Ikiwezekana niepushe kabisa na takataka zote zenye mfano wa kuni 🙏🏽