Askofu Musomba Akemea Uchawa, Asisitiza UkweliโAzungumzia Watu Kushangilia Vifo: 'Tumepotea Sehemu'
Akizungumza katika katika Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika leo Aprili 03, 2026, katika Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli Bunju, Askofu Stephano Musomba wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, ametahadharisha juu ya uelekeo wa jamii ya Tanzania akigusia mambo kama uchawa, utengano na dhuluma katika jamii.
"Mila zetu za kiafrika si kawaida mtu anakufa leo unashangilia, si kawaida," Musomba ameeleza akizungumzia matukio ya hivi karibuni
"Tukae chini tujadili pamoja tumekosea wapi,tuelimishane tueleweshane. Pengine anashangilia kwa sababu hakuna anayeniangalia, pengine haki yangu haijatendeka, ndio maana anashangilia. Kwahiyo tuangalie nini chanzo kinachotufanya tuwe tulivyo kwa nini tumefika katika hali hiyo," amesesisitiza Musomba.
Askofu Musomba pia amekemea utengano wa kisiasa, ambapo ameonesha kushangazwa na watu wanaotenga binadamu wenzao kwa sababu ya tofauti ya vyama vya siasa.
"Tulitendee haki taifa letu, tulikotoka na tunakoelekea siyo kuzuri.Tulikotoka kuzuri sana lakini tumepotea sehemu," alionya Askofu Musomba.
Katika mahubiri hayo ambayo amesisitiza suala la ukweli, Askofu Musomba amechambua pia nadharia ya viongozi wa dini kuambiwa wanaingilia siasa, ambapo ameeleza siasa haifuti uumini wa mtu katika dini, na viongozi wa dini wana nafasi ya kuonya. Musomba ametumia muda katika mahubiri yake kukemea kasumba ya uchawa katika jamii
โSasa ukimweka mwanadamu ni Mungu kosa kubwa sana,na ndio maana tunao wajibu kama viongozi wa dini kufufua dhamiri za waumini wetu,โ anaeleza zaidi katika mahubiri yake.
โZamani tulikuwa tunaogopa sana chawa, tena ukionekana we una chawa unakimbiwa usije ukaniambukiza. Lakini saa hizi ukiwa na chawa wewe ndiyo wewe.Mijamaa inakunyonya mpaka unakiona cha moto, wanasema we ni mzuri katika dunia hii kumbe huna lolote.โ
โKumbe huna lolote,kwa sababu hii michawa inanyonya tu uchafu wako. Hakuna uzuri wowote hapo ndiyo maana tunasema ukweli, unaleta maendeleoโฆ.na ndio maana tunahitaji watu kusikiliza watu wanapokuambia we umekosea. Usiwashambulie, lakini mwanadamu wa leo ni mgumu sana anapenda kusikia yale anayotaka kusikia."
Akaunti ya X (Twitter) ya Chadema iliyokuwa ikijulikana kama ChademaTz. Akaunti hii, ambayo kwa muda mrefu imekuwa chombo muhimu cha mawasiliano na taarifa za Chama, imechukuliwa na kuuzwa kinyume na taratibu na maadili ya Chama.
Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa aliyekuwa Afisa wa Chadema, Abdulkarim Muro, alihusika kuiuza kwa John Marwa, ambaye sasa anaitumia kupitia chombo chake kingine cha habari cha Royal Television.
Kwa kuzingatia hali hii, tunatoa wito kwa Abdulkarim Muro na John Marwa kurejesha akaunti hiyo kwa Chama ndani ya muda wa siku tatu kuanzia leo.
Iwapo watalazimika kupuuza wito huu, tutatangaza hatua ya pili ya kuchukua.
REPOST 200
Hatuwezi kufunika UKATILI wa Viongozi waliopita kwa sababu hawa waliopo wanaendelea kufanya mambo mabaya zaidi. Tukifanya hivyo utakuwa ni udhaifu na dhambi kubwa sana. Hatuwezi kumkumbuka mtu kwa kujenga madaraja dhidi ya roho za watu zilizopotea kikatili wakati wa uhai wake bila majibu hadi leo. Hisia za msiba haziwezi kuwa na nguvu kuliko wema , haki , huruma na upendo. Tukipoteza kumbukumbu za ukatili wao tutakuwa tunaimarisha ukatili kwa kila
utawala na haswa vizizi vinavyokuja.
Mimi namkumbuka Magufuli katika sura hii ma sio hisia na kelele za ngojera.
Kwa wale ambao hamjui kwanini huyu MALAYA tunamuita "BIMSUMI" sikiliza HAPA.
HUYU kakataliwa DUNIANI, MNINGUNI NA KUZIMU. Huyu Maiti yake yake hata BAHARI itaikataa.
Wa Irani wa Lumumba bana ๐คฃ alafu hoja zao ni โnilikuwa nakuheshimu ila sasa..โ akili zao mbovu! Yaani wao leo ndo watufanyie emotional blackmail ili tusapoti!
Alafu wanasema mi naleta udini! Hawa Islamic republic mullah wameua zaidi waislamu wenzao - hawafuati dini l- ni wauaji bila kujali dini! Haki ni haki tu! Dhulma ni dhulma tu! Wananchi wa Iran wameteswa mno na hawa wauaji!
Nakuomba kesho ukiwa na nafasi nenda kanisa lolote la Roman Catholic ambalo lipo karibu na wewe katoe sadaka kwa kadri ulivojaliwa na Mungu maana hawa watu ni moja kati ya watu ambao huwa wanasimama na Wananchi daily, hawajawai kutusaliti hata dakika moja.