Usiwe na kiburi kwa sababu ya kile unachokijua, wala usijidharau kwa sababu ya kile ambacho bado hujakipata.
Kuwa mnyenyekevu wa kutosha kujifunza, jasiri wa kutosha kutenda na mwenye imani ya kutosha kumtegemea Mungu katika safari yako.
Good Morning My Good people.