@Rydx_017 Bado hizi sauti zipo kichwani . Haya na sisi tumechukua ushauri tunaufanyia kazi ndo tupo kazini tunashinda mechi zetu na nyinyi mshinde zenu huko
Tusimsahau Niffer kwenye maombi ashinde kesi
Huyu dada ni mjasiliamali mkubwa sana
Ana influence kubwa sana mitandaoni kuliko wasanii wengi bongo
Na bado hakuogopa kusimama na wengi kipindi hiki