Al Ahly imefuzu hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia ngazi ya klabu kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Al-Ittihad ya Saudi Arabia kwenye mchezo wa robo fainali.
FT: Al Ahly 🇪🇬 3-1 🇸🇦 Al Ittihad
⚽ Maâloul (P) 21’
⚽ E lShahat 59’
⚽ Ashour 62’
Al Ahly itachuana na vigogo wa Brazil, Fluminense ambao ni Mabingwa wa Amerika ya Kusini (CONMEBOL Libertadores Champions) kwenye hatua ya nusu fainali.
Ikumbukwe Al Ittihad imesheheni nyota ambao ni washindi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, N’golo Kante (Chelsea), Fabinho (Liverpool) na Karim Benzema (Real Madrid) ambaye pia ni mshindi wa Ballon d’or.
Na. @JeremiahSulle
#KitengeSports
#DearNyerere kama mabingwa wa nchi na timu ambayo tunawakilisha nchi 🇹🇿 kwenye michuano mikubwa ya vilabu barani Afrika, jumapili hatutakuangusha. #NguvuMoja
Tumekabidhi zana za kazi kwa timu yetu ya mashabiki @SimbaTOTFans ambazo watatumia kesho kwenye #TOTBonanza watakapowakabili mashabiki wa mtani Yanga SC.
Hatuna shughuli ndogo 💪 #NguvuMoja
Tanzania greatest football rivals Simba and Young Africans lock horns today at Benjamin Mkapa Stadium, as Tanzanian Premier League enters its matchday 10 🇹🇿⚽️
@SimbaSCTanzania | @yangasc1935
Naishukuru Bodi ya Simba kwa kunipa heshima hii. Nitajitahidi kwa uwezo wangu wote kuitendea haki heshima hii. Kwa msaada wa Mungu na sapoti ya uongozi na washabiki wa Simba, tutafikia malengo yetu ya kuifanya Simba kuwa Klabu bora Afrika. Nawashukuru pia wote mlionipongeza. 🙏🏽
Tanzanian champions Simba @SimbaSCTanzania have named Barbara Gonzalez as Chief Executive Officer (CEO), becoming the first ever female CEO in the country’s top flight league.
More 👇
“Tumetoka mbali na bado safari inaendelea; tumepita mengi Wanasimba wenzangu. Nawaomba Wanasimba wote mtulie. SIMBA SC ni kubwa kuliko mtu mmoja. Sisi viongozi tunawatumikia usiku na mchana bila kujali maslahi ya mtu binafsi bali SIMBA. Kazi inaendelea, tuko IMARA! 🦁”- @moodewji
Treble masters!
🏆Community shield
🏆Premier League
🏆Azam Confederation Cup (today)
How do you sleep when you know you are not a @SimbaSCTanzania fan❓It's hard 🙄
Taasisi imekabidhi rasmi vituo vya kuosha mikono kwa Hospitali ya @MuhimbiliTaifa, @TaasisiMoyoJKCI na @TaasisiyaMifupa. Vituo hivi ni sehemu ya juhudi za kuzuia usambazaji wa maambukizi kwani imekua ikishauriwa kusafisha mikono mara kwa mara.
Hawa ndio wababe 8 waliofuzu hatua ya Robo Fainali ya Azam Sports Federation Cup 2019/2020,kaa tayari kwa upangaji wa ratiba. @azamtvtz@wallacekaria@WKidao@wambura70