Pale mteja anapoichukia rangi ya fensi yake anakuita fundi uje umshauri rangi gani apake halafu fundi unaenda umevaaa fensi yake🤦♂️🤦♂️😄😄😄😁😁😁😁 #Kwakifupikaziimekufa😌
@Izzo_bizness Kaka mkubwa nakushukuru sana kwa comment hii. Umeniheshimisha sana na umenipa nguvu sana. Ahsante sana kaka yangu kwa kuniweka hadharani kwa wema huu. NAKUSHUKURU SANA NA NIMEFURAHI SANA🙏🫡👊🏾

My Brother PETER MSECHU Na Family Yake Wanapiga Movements Flani Za Nje Ya Box Nakuwa Inspired Sana. Hongera Sana Kaka Kama Utabahatika Kuona Ujumbe Huu 🫡
Today, we are celebrating a remarkable story of transformation & hope!
Watch as Tanzania’s talented artist Peter Msechu @msechu shares how #TASAF has empowered communities by enabling access to vital social services through the construction of educational infrastructure in Ilchang'Tsapukin village in Longido District #Arusha.
#SDG1 #TransformingLives #PovertyReduction
Ukijua unakaribia kuoa au kuolewa basi hata kwa kinafiki anza kujitumisha meseji za salamu kwa watu basi. Sio kukurupuka tu hatujawasiliana miaka 6 nyuma unaibuka na meseji ya hello ninayofuraha🤔
@FAO 🇹🇿has supported @WizaraKilimo in officially presenting the market access dossiers for 8 priority crops in 14 countries unlocking the new potential of $3.5 billion and marking a turning point for Tanzania's agriculture sector @EUinTZ#STREPHIT🇹🇿🇪🇺
*LISHE BORA NI MTAJI*
Ni wiki nyingine ya kujifunza namna ya kuandaa MLO KAMILI,
Usikose Kuangalia:
-TBC1 kila Alhamisi saa 3:05 Usiku na Jumamosi saa 3:45 Usiku.
-ZBC kila Jumanne saa 3:30 Usiku na Jumamosi Saa 3:00 Usiku.
@MkundeStella@mwamapile

@mwamapile@MkundeStella