@PresenterNoah For me naona team Bora ni inayobeba kombe,
ili uweze kuwa Bora inabidi uoneshe utofauti sehemu au kwenye matukio flani ya muhimu kitu ambacho Arsenal wameshindwa kufanya
AMPHIBIA furaha yetu ni MALALAMIKO yenu yaani hii MILIO huku mtaani ndo FURAHA yetu jiandaeni KISAIKOLOJIA mana yanakuja MAKUBWA zaidi ya haya ya leo au kesi mtapeleka CAS tena ππππππ