Hivi nyie Mabinti mnakula bata na wanaume tofauti tofauti kila siku kwenye sehemu za starehe wazazi wenu huko kijijini nao wanafaidi hivyo hivyo kweli au ndio kuwajibu " hali ngumu mama"
👂Hakuna Kisichokua na Mwisho, Kama Biblia Takatifu Ina Mwanzo Na Mwisho { Ufunuo }, Basi Amini Kwamba Kuna Siku Matatizo yako yataishia Kumuabudu MUNGU Unaemuabudu
Kunasiku Utasimama mbele ya Watu Nakusema MUNGU NI MWEMA, AMENITENDEA...✍
@godbless_lema Lema hapa kwetu wapinzani ndio hamna Kitu, siasa zenu hazileti tija kwa wananchi, kuweni na sera, sisi mbona waelewa Sana tu. Tutawapa Nafasi kuonyesha uwezo wenu, mfano Kipindi cha korona chadema wangekuwa madarakani Tanzania tungekuwa lockdown! Na ujinga kama hu unwaharibia
Nasikitika kuwajulisha kuwa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa amefariki dunia. Nitakumbuka umahiri wake katika uongozi na uzalendo. Natoa pole kwa familia, Jeshi, Bunge na wananchi wa Jimbo la Ushetu. Mungu amweke mahali pema peponi, Amina
Moja ya kanuni muhimu ya watu wanaofanikiwa kutimiza malengo yao ni ile inayoitwa “ELIMINATION”.
Kanuni hii inasema, kila siku unatakiwa uamue ni mambo gani ambayo hayatakiwi kuchukua muda wako.
Share
👂Usikubali KUSHINDWA au KUCHOKA KUOMBA! Pambana kwa namna yoyote ile ILI UPATE MUDA WA KUOMBA! Imani na Maombi yako ndiyo mikono yako ya KUCHUKULIA ULIYOAHIDIWA NA MUNGU WAKO........🙏🙏
👂Kuna Watu Usiwaombee waondoke Duniani, Maana Wanapo kupiga Vita, Wanapo kucheka na Kukudharau, Wakiondoka Duniani Na MUNGU Hajakuinua, Haitapendeza Bwanaaaaa, Lazima Wabaki, Wasubiri Kwanza MUNGU WA MBINGUNI Akuinue, Akubariki, Akutukuze mbele yao, Ili waamini kuwa Unae MUNGU
THIS MAN WAS GENIUS TUWE WAKWELI TU، @mwigulunchemba1 wakati unaweka Kodi baadhi ya sehemu hamkufanya angalia kwa upana wangapi wataathirika as long as nyie mpo kwenye system mnajua hamtapata tabu. Ni vyema mkae muangalie sio kwa ongezeko lile. Hatukatai kuchangia we love out Tz
....���Mshindi HAWI na kauli mbili mbili. Mshindi HUWA NA LUGHA MOJA TU- NAYAWEZA MAMBO YOTE KATIKA YEYE ANITIAYE NGUVU!
Washindi hawabadili lugha zao kisa kuna kelele nyingi za maadui zao 💪💪💪💪