@ChiefLumanyika Mbowe kama atataka kuonesha udhaifu basi aende Chauma. Maana ataonekana ana uroho wa madaraka. Kwani anashindwa kugombea akiwa chadema? Kumbuka wapiga kura nao sio wale wa miaka 2000 huko
@JonMrema Ila Mrema na kikundi chake ni shida. Ukiwaangalia wote ni wale waliokosa nafasi na ni timu Mbowe. Hivi kwani ikiwa mwanachama wa kawaida tu ni dhambi???