My dad akamuuliza nani bobo (my small bro) anashinda tu akiuliza ati Fambo ako wapi. Sasa my dad anamuuliza Fambo alikuja na nani? Alikuwa hapa? Then my small bro anasema tu ee alikuwa hapa alikuja ati ameenda. Hee nikaskia tu zangu zimeshuka instantly.
So jana my neighbor anaitwa Fambo came over. Tukawasha moja then he left. After like 45 minutes my dad akakuja home so our househelp ndio akafungua gate. Mimi nilikuwa bedroom already nishafika disneyland. So my small bro ako 4 years old akaanza kuuliza my dad ati Fambo ako wapi?