Michuano ya AFCON 2021, Mwamuzi Janny Sikazwe wa Zambia alimaliza mchezo wa Kundi F kati ya Tunisia na Mali dakika ya 85. Baada ya malalamiko, aliamuru mchezo urejee uwanjani kisha kumaliza sekunde 13 kabla ya dakika 90.
Tunisia walikuwa nyuma kwa bao 1โ0, na walikataa kurejea uwanjani baada ya amri ya waandaaji wa mashindano, hivyo Mali kutangazwa washindi.
Mwamuzi alisema alipata changamoto za kiafya kutokana na hali ya joto hivyo kushindwa kusimamia mchezo ipasavyo.
EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality.
We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions