🔴 BREAKING NEWS
Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu John Malecela, Mwele Ntuli Malecela Amefariki Dunia Nchini Swiss muda Mchache Uliyopita ,Dr
Dr Mwele Ntuli Malecela alikuwa Director General of the National Institute for Medical Research,-NIMRI
@AMpungwe Best wishes Balozi! We need deliberate efforts to understand and embace 4IR as fast as possible. Digital transformations in social and economic sectors is key!
@mafolebaraka@Afruturist Ni kweli Botnar Fondation tuliwapa fedha Samasource waanzishe hizo huduma hapa Tanzania. Bahati mbaya kufariki kwa Leilla Jannah ambaye alikuwa CEO kulikwamisha hiyo project. Hata hivyo nipo mbioni kuanzisha program nyingine moja tumeanza na Digital Swahili.