@5kgs_@RonyoOleSakau Labda lawezekana hilo lakini mawazo yangu ni timamu.maana hata wewe wafahamu vyema bro boma wenyewe wako mzozano huezi ingia ndani kutoa suluhu Bali huitwa wakaongeleshwa nje ya boma wakielewana unarudi kwa boma kuwaunganisha hiyo ndio diplamasia
@orengo_james Tunajua vizuri alichofanya mwakwere kipindi Cha URP.Alipewa mamilioni ya pesa kwa wafuasi akaingia mitini.mwakwere mbaya hata kuliko Rig G