Kupumbavu si kuuliza mahesabu ya michango ya million 41 ya kiongozi wenu mpaka leo hayapo? Wapumbavu ni nyinyi mnaporudi kuwaambia watanzania mnawajali haki na uwajibikaji ๐ฎ๐ฎ
@kibiki001 Hakika kila uwekezaji unaofanywa katika nchi yetu ni jambo jema, ajira kwa vijana na ukuaji wa uchumi tunaoendelea kuuona chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia ๐๐๐น๐ฟ
Jumuiya ya Madola imeeleza kujivunia hatua zilizopigwa na Tanzania katika kuimarisha mshikamano wa kitaifa, huku ikiungana na Watanzania kumuombea faraja Rais Samia.
@Kilwafinest Kabisa Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan anaonesha dhamira ya dhati kwa nchi yetu, uwekezaji wa SGR, bandari na nishati ni mageuzi makubwa kwa wananchi ๐๐๐น๐ฟ
Mimi naona wanapiga kelele mitandaoni mbele, lakini wanakimbilia kula fursa za kilimo zilizowekwa na serikali ya Dkt.Samia ๐ฎ Hawajawahi kuwa na ajenda, kazi ya dhati inaonekana wenyewe ๐๐
Serikali ya Mhe. Rais Dkt. @SuluhuSamia imeendelea kuweka mazingira na mipango mbalimbali katika sekta ya kilimo kwa lengo la kuongeza tija na manufaa kwa wakulima. Hatua hizi zimeendelea kuvutia wadau mbalimbali, wakiwemo viongozi wa vyama vya upinzani, kushiriki katika fursa zinazopatikana kwenye sekta hiyo.
Ukombozi gani huu?? MO29 iliwateketeza vijana na biashara za wananchi, sasa mnarudia mchezo uleule ๐ Shida yenu hamna ajenda yeyote ila kudhoofisha nchi ๐ฎ๐ฎ
Leo #MariaSpaces tunajadili: Maandamano MO29 kama Ukombozi - Tumejipangaje?
Haki ya wananchi kuandamana inatokana na kuwa mamlaka yote ya nchi yanatokana na wananchi! Tunatambua hiki na je tuko tayari kutumia mamlaka yetu kuelekea #MO29 ?
Leo saa 2 uck usikose mjadala muhimu
Kipindi TAIFA linataka Maridhiano walisema wao wanatiki KWANZA.
Wamemaliza KUTIKI saizi wanatulazimisha tufanye Maridhiano.
Yani muda wanaotaka wao ndio tuwasikilize. Sio wakati huu, labda zama za SIASA ZA MASAJI.
Kabisa Mimi naona hawa jamaa hawana jibu la kitu, kazi yao ni uharifu na kelele za mitandaoni tuu, sasa ndio maana wanamtegemea Lissu tuu anayekata nchi letu ๐ฎ๐ฎ
Kwanza hiyo picha ya Nchimbi ni FAKE NEWS ya kawaida yenu, hamna kitu kama hicho. Na Ndugai alijiuzulu kwa makosa yake mwenyewe, hiyo ni nidhamu ya chama. Nyie hamna ajenda ila uwongo ๐ฎ๐ฎ
Ubaya ni kwamba mkishamaliza kutumiwa kama tissue paper huwa mnafalishiwa pamoja na kinyesi tu kwa sababu hamna thamani yoyote.
Achana na wewe papasi, alikuwepo Spika wa Bunge Job Ndugai. Baada ya kumaliza kumtumia, akaflashiwa. Sasa hivi anaitwa marehemu.
Alikuwepo Makamu wa Rais, Emmanuel Nchimbi. Baada ya kumaliza kumtumia sasa hivi anaishi kwa kujificha na pengine alishaliwa kichwa.
Mlivyo wapumbavu mnaendelea kuunga tela tu mkidhani mpo salama. Ni suala la muda tu.
Mimi naona mradi unaofanyiwa makubaliano ya kikatiba na fidia zinazotolewa waziwazi mnauita ukiukwaji?? Hii ni kampeni ya kuvuruga uchumi wa nchi, upotoshaji tuu ๐ฎ
Involuntary displacement conducted without Free, Prior, and Informed Consent (FPIC) constitutes a violation of international human rights law, regardless of nominal financial compensation offers. #EACOPniTishio
@XH_Lee23 Teknoloji inaendelea kwelikweli.. Sisi pia SGR yetu inaendelea hatua kwa hatua, nchi inayojenga reli ya kisasa inaonekana inatembea mbele ๐๐
HABARI KUTOKA GAZETI LA TANZANIA LEO
โCCM yalinda kazi za Samia
โRostam asifu uwekezaji wa Samia bandari, SGR, nishati, miundombinu
โDkt. Mwigulu amwakilisha Rais Samia mkutano wa afya moja