@HassanSMohamud@SuluhuSamia How can you genuinely congratulate her when youโre aware of the troubling events unfolding in Tanzania? How can you feel content or celebrate amidst such a serious situation? Itโs quite disheartening, and it would be wise for you to reconsider and possibly remove this
@ikulumawasliano Hebu tuleteeni katiba mpya ili hao viongozi wenu tuwawajibishe wenyewe haiwezekani mkuu wa nchi anasema next time watajwe ili waone aibu kweli!! Baada ya kuwawajibisha
@Dominicksalamb1 Ungekuwa unachangia hata mia kwenye mshahara wake nazani tungekaa chini tulifikirie hili ila kwakuwa unatumia kalio kufikiria ndo maana huna ulichokichambua zaid ya kumtaka kocha aondoke. Ingekua hivyo Pep pale city angeshaondoka muda tu
@Dominicksalamb1 Wewe mzee kunasehem panskuwasha au unslazimisha umaarufu kwa kuisemea simba vibay. Lakini kiukweli mzee mpira huujui ndo maana hata pale azam ulifukuzwa