#OnThisDay in 2⃣0⃣1⃣9⃣ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly 🇹🇿
An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends ❤️🤍
BREAKING NEWS 🚨
Malipo yasimame kwa sababu ya intaneti? Sio kwa Selcom Pesa! 🔥
Tunaenda full speed OFFLINE na ONLINE hivyo unafanya transactions zako bila kubanwa na mtandao.
Huduma zako, pesa zako salama, uhakika, bila usumbufu.
Poleni familia, viongozi Kanisa Katoliki hasa jimbo la Bukoba, waumini na wananchi sote kumpoteza mwanadiplomasia nguli wa Vatican ASKOFU MKUU NOVATUS RUGAMBWA (08. 10. 1957 - 16. 09. 2025) huko Roma. Ni Mtanzania wa kwanza kuwa Nuncio yaani Balozi wa Baba Mtakatifu na kutumikia nchi mbalimbali duniani ikiwemo Angola (2010); Honduras (2015); NewZealand & Pacific Islands (2019). Amevipiga vita vilivyo vizuri. Tumuombee raha ya Milele katika Kristu. RIP.
#RadioMariaTz
Start your month with smarter payments.
With Selcom Pesa Mastercard, you can pay for goods, services, and more with zero transaction fees wherever Mastercard is accepted.
Seamless. Secure. Free.
#SelcomPesa#makatomadogokuliko
Kitendo cha timu ya Chelsea kuamua kugawa sehemu ya pesa walizozipata baada ya kuwa mabingwa wa Club bingwa ya dunia kwa familia ya Diogo Jota na mdogo wake waliofariki kwa ajali, kimeonesha uungwana wa juu mnoo na hali ya kujali. Jambo hili litakumbukwa daima.
Denmark imepitisha sheria , kila raia ana umiliki kamili wa sauti, sura, na mwili wake. AI haiwezi kutumia utambulisho wa mtu bila idhini yake. Tanzania, lazima isichelewe. Dunia inaingia zama za hatari. Deepfake inaweza kutengeneza video ya mtu akisema au kufanya kitu ambacho hakijawahi kutokea. Katika mikono ya madikteta na maadui wa demokrasia, teknolojia hii itageuzwa kuwa silaha ya kuunda ushahidi wa uongo, kuharibu maisha ya wapinzani, wanaharakati wa haki za binadamu na waandishi wale bora wa habari.
Sheria ya kudhibiti matumizi ya AI lazima iwe haraka. Usalama wa raia, uhuru wa kisiasa, na heshima ya binadamu haviwezi kuwa jambo la kusubiri hadi tukumbwe na janga.
Tanzania inaweza kuanza kwani sura na sauti ya binadamu si mali ya mashine ni haki ya msingi ya kila mtu. Naogopa sana Madikiteta wakianza kutengeneza kesi za uongo kwa kutumia AI. Watu wengi sana watateswa na kuumizwa hata kuuwawa.
Mji wa Serikali wa Magufuli City uliopo Mtumba Dodoma. Hapa kuna mejengo ya Wizara zote na baadhi ya taasisi za Serikali. Pia kuna eneo lilotengwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Balozi na Mashirika ya kimataifa ya umoja wa mataifa.
▪️ Premier League
▪️ FA Cup
▪️ Carabao Cup
▪️ Champions League
▪️ Europa League
▪️ Conference League
▪️ Club World Cup
Chelsea are the first club in football history to win every major trophy 🏆
Not bad at all 😏
Chuo cha DIT kimesema Agosti 1, 2026 kitarusha Satellite Angani, ikiwa ni hatua inayotokana na kuongezeka kwa Ujuzi, Ubunifu na Teknolojia. Hii itakuwa ni Satellite ya kwanza kurushwa angani hapa Tanzania.