@DrCyrilo@daddyhope Yes it is not. This is near my home...it is called Kimara Baruti....and there was a mechanic near a CCM office..the cars were there for repairs.
@Junior_Nako @kiichefuchefu Telegram ya zamani siyo hii app ya social media. Nafikiri kwa Kiswahili ilikuwa simu ya maneno. Unakumbuka kwenye Kiswahili tulikuwa tunafundishwa kuandika ujumbe wa telegramu kwa maneno kumi tu?
Pia kwenye hesabu, tulikuwa na zile hesabu za telegramu, maneno 10 ya kwa kwanza.