I had finally learned there are no miracles there's no such thing as fate nothing is meant to be I knew, if you don't push it it will not Happen I swear.
Huyu jamaa anaitwa Folarin Balogun ni teka la marekani alipata red card game iliyopita na game ijayo marekani anacheza na Belgium, so technically ingebidi asicheze lakini white house imevuta waya kwaraisi wafifa mojakwamoja na game ijayo atawepo AIBU UTAONA WWE mzee ๐๐๐
Hiyo picha inaitwa Gardening on Sunday ilipostiwabna John Falter mwaka 1961
Me naona,
Swali lililojificha katika hiyo picha sio yard ipi inaonekana bora zaidi, ni maisha yapi ambayo yanaonekana bora zaidi ?
Ikiwa perfection unagharimu sikuyako mzima Je, bado inafaa kuwa nayo?
Kama ungekuwa na sababu za kutosha, ungeweza kufanya mambo ya ajabu sana.
Siokwamba hauwezi, niviletu haunasababuzakutosha zakukufanya uperform kwenye kiwangohicho
Mtuanaekesha sio kwamba yeye nimwamba kuliko usinginzi NO niviletu yupo nasababuzakutosha zakumfanya akeshe

Vipi kama umezaliwa kwenye kipindi au sehemu ambacho haiendani na wewe?
Kwenye kibatu Cha Things Fall Apart kilichoandikwa na Chinua Achebe
Unoka alikuwa mwana muziki kwenye dunia ya wapiganaji na ushujaa sio kwamba alikuwa mvivu