@ThatBoyKhalifax@lifeofmshaba Yani anaacha kuhangaika na uokoaji na kuhakikisha wananchi wanapata uhakika wa safari Yuko kuhangaika na bendera Za CHASES
Dar imekumbwa na mafuriko, nyumba zinaanguka, magari yamekwama, huduma za jamii hatarini, mabilioni yamepotea kutokana na watu kushindwa kufikia kazi au biashara zao na Mkurugenzi anahangaika na bendera! Kweli? Au ni hadithi ya kutunga tu? Yaani!