@che_guevaraa_ @TTCLCorporation Ndugu mteja ili kuweza kupata vifurushi vyΓ chuo piga *148*30*35#. Hakikisha laini yako imesajiliwa kama laini ya chuo. Kama bado nenda na kitambulisho chako cha chuo kilicho hai katika duka lolote la TTCL lililo karibu nawe
Kama umekuwa ukitamani kutengeneza akaunti yako ya PayPal iliyo verified lakini unashindwa, huu ni uzi bora kwako
Hakikisha unasoma mwanzo mpaka mwisho
Shuka na thread π
PS: Usisahau kurepost kwa watu wengine wapate kujifunza