"Bahati Yangu ya Kuishi Katika Kipindi cha Mabadiliko ya Teknolojia: Shukrani Zangu"
Nimekua nikifanya haya mambo ya “MTANDAONII” toka mwaka 2016 (sio zamani sana) lakini kwa sasa kuna fursa nyingi zaidi.
Kila siku naomba “ Ee Mungu nionyeshe nilichofanya kustahili yote haya ili nifanye zaidi”
#Thread
“No body who bought a drill, wanted to buy a drill. They wanted to make holes.
If you want to sell drills do not advertise the drill Advertise how to make holes.”
Perry Marshall.
Facebook Ads Manager ni powerful kuliko mitambo ya CIA. 98% ya Wafanyabiashara wa bongo wanaitumia kwa asilimia mbili tu.
Mfanyabiashara Jifunze Facebook Ads Manager inafanya kazi, utanishukuru badae.
I mean sio ile ya kubonyeza tu “Boost Post”
Kama mfanyabiashara uwe na mfumo wa kutunza kumbukumbu za wateja wako Hata kama hawajanunua kitu.
Hii itakusaidia kuuza tena product nyingine kwa mteja wa zamani or unaweza mvuta mteja ambae hajanunua aweze nunua tena hapo badae.
Njia ya kukuza Twitter account yako! From 0 - 1000 followers in 30 Days!
▪️Fahamu malengo ya account. Elezea malengo ya account kwenye bio yako.
▪️Watu gani umewalenga
▪️Tweet zako ziwahusu watu hao
▪️Comment, retweet, like post zao.
▪️Follow account zinaozoendana na wewe.
1• Jifunze social media marketing na tweet/post kila kitu unachojifunza.
2• Tafuta wajasiamali wanawake na offer kufanya kazi zao za social media marketing free kwa mwezi mmoja.
3• Jiweke kama “Social Media Marketer wa wafanyabiashara wanawake”
4. Piga Noti!
Ni facebook, instagram na whastapp tu haipo sawa kwa sasa, lakini internet ni jukwaa ambalo mambo mengine yote yanaweza kuendelea kufanyika bila hiyo mitandao.