Yule Sophie amelowa yuko Tanzania 🇹🇿 hapahapa au ? Oya zile post anazopost IG kbbk aisee unaweza ukasema hana ndugu au wazazi kabisa na wala hawazi wala kuogopa wanangu mliopiga pale bei ya maelekezo ni ngapi ?
Wakati ukiwa mtoto kuna yule mganga alikua anakula sana pombe au sometimes anaingia kazini amewaka sana. Unashangaa eti mganga mzima hana hata pikipiki? Siku hizi huyo mganga ndio wewe.😂