KYELA, MBEYA, TANZANIA.
CHADEMA ni tumaini lililoletwa na Mungu na sasa ni mali ya kila mwananchi. Popote unapokanyaga nchini, bendera ya CHADEMA inapeperuka kwa kishindo huku ikileta tabasamu na matumaini mapya kwa wananchi. Wana-Kyela wanaipenda CHADEMA kwa dhati ya mioyo yao! #FreeTunduLissu ✌🏾
Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani @exmayor_bonifacejacob akihutubia mkutano wa hadhara mjini Kyela, Mbeya leo. ✌🏾🔥🙏🏾
NB: Mwambieni Mwenezi ‘GANJA MBICHI’ wa CCM huyu ni BONI YAI peke yake.
Pia sisi tukipanga viti kama wao hakuna eneo litatosha kwa mikutano yetu
NB mtamalizia wenyewe!
Binadamu wote tunazaliwa na sense of justice yaani kutaka haki! Ila mazingira yanatufundisha kuwa waoga au kuwa madhalimu
Kilichotokea Oktoba 2025 ni mauaji halaiki na dunia ilishuhudia - hakuna mtu timamu anaweza kuunga mkono huu ushetani! Na kila mwenye roho yenye Mungu ayltaupinga kwa maneno na vitendo!
Sasa akina Kombo, Kabudi na Nyalandu walimdanganya huyu mwuaji Samia kuwa atumie mamilioni ya dola wamsaidie kuzuia asichukuliwe hatua na Marekani
Sisi wanaharakati hatuna pesa tuna haki kama ngao yetu! Ila Mungu anatubeba! Nyalandu rudisha pesa za watanzania! Unatetea ushetani huu ipo siku utalipa! Ona Mungu wetu alivyokuwa mkuu 🙏🏽
@Liberatus80 thank you for leading from the front and I hope @SenTedCruz was able to receive our gratitude and heartfelt appreciation for his efforts
@tausilikokola keep the fire burning 🔥
Hakuna kupoa!
"Waziri wa Afya Tanzania anaenda Bungeni kuwasilisha Bajeti na mkoba wa Louis Vuitton wa thamani ya zaidi ya 15,000,000. Wakati Milion 15 ukiipeleka kwenye Zahanati flani Kijijini unaokoa Uhai wa maelfu ya Watanzania" - @HecheJohn Makamu M/kiti wa CHADEMA.
‼️DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI‼️
Serikali haramu ya Nduli Idd Amin Mama kupitia kwa DCI Ramadhan Kingai imepanga kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga kumkamata leo.
Wanadhan kwa kufanya ivo ndo kutawasaidia kusambaratisha CHADEMA, haya yote ni kwasababu ya misimamo ya Viongozi wetu, kwasababu Viongozi wetu wamekataa kuwapigia magoti Viongozi haram waliojiweka madakarani baada ya kuuwa kwa risasi Watanganyika zaidi ya elfu kumi Oktoba 29.
Kwasasa hakuna chama chochote chenye legal or constitutional authority kuongoza au kuwasemea Watanzania sababu hakuna uchaguzi ulifanyika October 29 zaidi ya “Tume yenyewe kupiga kura” wakati wananchi wakipigwa risasi na CCM.
Ila kuna chama kimoja chenye moral authority kuwaongoza na kuwasemea Watanzania, na chama hiko ni Chadema.
Wananchi wa Kahama wanaendelea na maandalizi ya kuunadi mkutano wa Opereshini KATIBA MPYA, FREE LISSU utakaofanyika Mei 19. Wahudhuriaji watakuja wenyewe bila kuletwa na malori wala punda.
Msajili wa vyama vya siasa tuachieni CCM tuwatoe jasho. Achaneni na huo mpango wenu.
Familia ya James Temba wamerudi upya msibani. Wiki jana walimzika Temba bila kichwa. Ndugu mwingine kafariki palepale msibani. Leo kichwa cha Temba kimepatikana. Watafukua kaburi wamuunganishe, au watazika kaburi tofauti? Haya mambo yanavumilikaje? Mungu awafariji. RIP Temba!
Mzee Warioba alipoongea juzi kuwa October 29 tume ndio ilipiga kura hakukosea na ushahidi huu hapa.
Nilishaposti hizi video instagram baada ya mauaji ya October 29.
Embu cheki, kipindi nchi nzima iko kwenye darkness Tume ya uchaguzi na CCM ndio walikuwa wanafanya kazi hii.
Uchaguzi wa Octover 29 2025 ni null and void. Hatuutambui.
Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha.
Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls!
Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this!
Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi wanailalamikia Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kutokutenda haki kwenye kusimamia shughuli za vyama vya Siasa. Badala ya Msajili kuchutama, kuwajibika na kubadilika anarudia makosa yaleyale yaliyopelekea mauaji yaliyoanza Oktoba 29.
Msajili anajua, Watanzania wanajua na Dunia inajua kuwa Kuna ushahidi wa kutosha wa CCM kufanya makosa makubwa kuliko hata ambayo msajili ameituhumu Chadema, hatukuwahi kuona hatua zozote zimechukuliwa na Ofisi hii ya Msajili.
Ofisi ya Msajili ijue WATANZANIA SIO MABWEGE. Tunachukulia tishio lolote dhidi ya CHADEMA ni tishio dhidi ya Demokrasia. An attack to one, is an attack to all.
Iacheni CCM ifanye Siasa za Ushindani dhidi yetu. Nasi tufanye siasa za ushindani dhidi yao.
Acheni kuwa mbeleko ya CCM. Mtaanguka nayo. Ujumbe huu sio wa Msajili tu bali pia ni kwa VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA pia. Kaeni pembeni acheni vyama vya Siasa vifanye Siasa.
Mnataka watu wangapi wafe ili mpate somo?
Tumeona kipeperushi cha Polisi wakimuita mteja wetu Hilda Newton wamuhoji kuhusu masuala fulani fulani.
Majibu yetu ni kwamba: mteja wetu hana nafasi.
Tunawasihi polisi waendelee na kazi yao, ambayo, hata hivyo, haitegemei uwepo wa mteja wetu.
Imesainiwa.
TM
Tunasubiri kwa hamu matokeo ya tume hii muhimu.
Je, italeta majibu tunayoyahitaji au itaongeza maswali zaidi?
Muda unaenda, na matarajio yanaongezeka.
Wewe una maoni gani kuhusu hili?
#Tume#Habari#Maoni#Subira