The United States values its longstanding partnership with the people of Tanzania, which has brought prosperity to our populations and security to the region. Recent actions by the government, however, raise concerns about the direction of our bilateral relationship. The future of our bilateral relationship with the Government of Tanzania will be based on its actions.
#ChemsaBongo
Hii vita ya Rapcha & Dizasta kuna msanii anatamani angekuwa ndio yeye yupo kwenye hii vita,
TATIZO HANA #SILAHA MASKINI YA MUNGU🥹
#NB Silaha Yake Kubwa Utaskia Nilipafomu Live Sauti Za Busara, Nikapafomu Bigi Braza Na Niliishi Chikago😁😁
Kama hamuwezi kufanya maendeleo bila tozo wapisheni wanaoweza kwani mlilazimishwa kutuongoza?fanyeni kazi nyingine kwanini mnajitesa sasa?si mliiba hadi kura ili mtuongoze nyie
#SayNoTozo
@DrOnesmoMushi1 @MabalaMakengeza@kitilam@HakiElimu Kuna shule za ufundi, kama bwiru boys, moshi tec na nyingnezo, zinafundisha ufundi lakini bado sioni effect yake kwa wahitimu.
@ikulumawasliano@venusnyota Ila @venusnyota tuandikie kiswahili hiyo taarifa ni kwa manufaa ya watanzani masikini wasiokuwa na elimu ya kutosha kutumia lugha ya ng'ambo
Tunaomba sana kama huwezi kuandika kiswahili waachie watanzania nafasi hii ya kutuhabarisha yaliojiri ikulu yetu