@Ireneigora 60 mi nikaondoka zangu lakini nilikutana na mtu mwingine pia Jijini Mbeya mitaa ya Uhindini asee hii nitasimulia Next time lkn hawa omba omba wa siku hizi ni vicheche
@Ireneigora Shangazi kaja yae akatope pesa kwa haraka haraka zilikuwa zinafika 1 or 1.2m nikamuuliza una pesa zote hizo lakini unajidharirisha kwa kujifanya omba omba na kumtesa mtoto wako? Akasema mjini wajinga wengi asee jibu lilinichosha na kunifunza roho ya ajabu, akanipa pesa yangu
@Ireneigora Akaanza kuomba msamaha nikamwambia mambo yasiwe mengi wewe ni tapeli chagua moja nikupeleke polisi au urudishe pesa ili nikupe barau yako akasema atanipa pesa lakini tutoke nje ya Stand kwasababu hata watu wajue kuwa ana pesa tukazunguka nyuma ya Stand akafungua
@Ireneigora Yake akaniletea na pigo zake ni zile zile hajabadili hata nguo,akaja nilipokuwa nimekaa akaniletea ile barua yake ya kuomba msaada nilipoishika mkononi mwangu nikatao Cap ili aione vizuri sura yangu nikamuuliza unanikumbuka? Asee yule alitamani kukwapua ile barua lakini hauweza
@Ireneigora Stand nikamwambia hapana upo na mtoto nikampa pesa 60k akate ticket, alipie chumba ya Guest house na nyingine imsaidie akiwa safarani mi nikapita na mishe zangu naelekea Ukerewe, nilikaa ukerewe kwa siku 9 niliporudi siku ya kumi namuona tena yule mama na mtoto wake na barua
@Ireneigora Inabidi asaidiwe arudi kwao Kigoma kwa haraka haraka ukimuangalia lazima huruma itakujia mm na kiherehere changu nikamwambia usiendelee kuzunguka nauli ya kigoma sh ngap kwa kipindi kile alinka 28k nikamuuliza utalala wap wakati unasubiri kesho ifike uondoke akaniambia atalala
@Ireneigora Hao watu wanazingua sana mm nilikutana nae mmoja Buzuruga stand akiwa amambeba mtoto mgongoni na mfuko wake wa Shangazi kaja aliponiona akanifata akanipa karatasi inayooneka imetoka ofisi ya mkuu wa wilaya ya Jamagana, baraua inaonesha kuwa mama yule anashida